Uploaded by CHE SAID KHALIYLOULLAH

TANGAZO LA UDAHILI MKUPUO WA MACHI 2024 FINAL

advertisement
BARAZA LA TAIFA LA ELIMU YA UFUNDI NA
MAFUNZO YA UFUNDI STADI
TAARIFA KWA UMMA
UDAHILI WA WANAFUNZI MKUPUO WA MACHI
2024/2025
Baraza linautaarifu Umma kuwa Udahili wa wanafunzi kwa muhula wa Machi, 2024 katika ngazi ya
Astashahada na Stashahada kwa kozi zote isipokuwa kozi za Afya kwa Tanzania Bara, utaanza rasmi
tarehe 6 hadi 23 Februari, 2024. Udahili huu utahusisha vyuo vilivyo na nafasi na uwezo wa kupokea
wanafunzi wapya na vilivyoruhusiwa na Baraza baada ya kukidhi vigezo (Orodha imeambatanishwa).
Aidha, wahitimu wote wa Elimu ya Sekondari na Vyuo wenye sifa za kujiunga na kozi za Astashahada
na Stashahada wanashauriwa kutuma maombi yao ya kudahiliwa moja kwa moja vyuoni. Waombaji
watakaochaguliwa na vyuo watakavyoomba, watawasilishwa NACTVET kwa ajili ya uhakiki wa sifa za
kujiunga na programu walizoomba na watajulishwa majibu ya maombi yao baada ya uhakiki kukamilika.
Masomo kwa waombaji waliohakikiwa na kuonekana na sifa yataanza rasmi tarehe 25 Machi, 2024.
Baraza linavishauri vyuo na taasisi zote zitakazodahili wanafunzi kwa Muhula wa Machi, 2024
kuhakikisha kuwa wanazingatia kanuni na taratibu za udahili p a m o j a n a Kalenda ya udahili
(Admission Calendar) inayopatikana kwenye tovuti ya Baraza.
Pia Baraza linawashauri waombaji na wazazi kuhakikisha kuwa wanaomba kwenye vyuo vilivyokidhi
vigezo na kuruhusiwa kudahili katika muhula wa Machi 2024 kama vilivyo orodheshwa kwenye tangazo
hili.
Orodha ya vyuo vilivyoruhusiwa kufanya udahili wa Machi 2024 pia inapatikana katika tovuti ya
NACTVET www.nactvet.go.tz.
IMETOLEWA NA:
OFISI YA KATIBU MTENDAJI
06/02/2024
RATIBA YA UDAHILI KWA MKUPUO WA MACHI,
2024/2025
TAREHE
TUKIO
WAHUSIKA
06 Februari, 2024
NACTVET kutoa orodha ya
majina ya vyuo vilivyokidhi
vigezo vya kudahili katika
mkupuo wa Machi 2024/2025
NACTVET
06 - 23Februari, 2024
Kufungua udahili wa mkupuo wa NACTVET
Machi 2024
Kupokea maombi ya wanafunzi
Vyuo
01- 08 Machi, 2024
Kuwasilisha NACTVET
majina ya waombaji
waliochaguliwa kwa ajili
ya uhakiki
Vyuo
09 - 14 Machi, 2024
Uhakiki wa waombaji
Waliochaguliwa
NACTVET
15 Machi, 2024
Majibu ya Uhakiki
NACTVET
25 Machi, 2024
Usajili wa wanafunzi na masomo Vyuo
kuanza
VYUO VILIVYORUHUSIWA KUDAHILI WANAFUNZI KWA MKUPUO WA MACHI 2024/2025
Na
Jina la Chuo
Kanda
Bodi ya
Masomo
Programu
Ngazi ya
Tuzo
1.
Institute of Adult Education -Dsm
Mashariki
BTP
Adult and Continuing
Education (TCACE ODL)
Adult and Community
Development (TCAECO
ODL)
Distance Education (TCDE)
5
2.
Njuweni Institute of Hotel Catering and Mashariki
Tourism Management
BTP
Hospitality Management
6
3.
4.
5.
6.
City College of Health and Allied
Sciences – Dar es Salaam Campus
(Temeke)
College of Agriculture and Natural
Resources
Ardhi Institute Morogoro
Kibaha Institute of Business
Hospitality Operations
4-5
Travel and Tourism
4-6
Mashariki
HAS
Social Work
4-5
Mashariki
SAT
Agriculture Production
4- 6
Mashariki
SAT
Urban and Regional
Planning
Geomatics
Mashariki
BTP
Geographic Information
System
Business Administration
4
4-5
7.
Na
8.
9.
10.
City College of Health and Allied
Sciences – Ilala Campus
Jina la Chuo
University of Dar es salaam Computing
Centre- Dar es Salaam
East Evan College of Health and Allied
Sciences
The Mwalimu Nyerere Memorial
Academy -DSM
Mashariki
HAS
Social Work
4-6
Kanda
Bodi ya
Masomo
Programu
Ngazi ya
Tuzo
Mashariki
SAT
Mashariki
HAS
Business Information
Technology
Computing and Information
Technology
Community Development
Mashariki
BTP
Youth Work
4-6
4-5
4-6
4
Information and
Communication Technology
Procurement and Supply
Business Administration
Accountancy
Economic Development
Community Development
Records,
Archives
and
Information Management
Human Resource
Management
Library and Information
Management
4-5
Leadership and Ethics
Social Studies
Na
Jina la Chuo
Kanda
Bodi ya
Masomo
Programu
Ngazi ya
Tuzo
Gender Issues
11.
The Kilimanjaro Institute of Technology
Management
Mashariki
SAT
Information and
Communication Technology
Business Administration
4-6
Procurement and Supply
Accountancy
12.
13.
14.
15.
Testimony College of Health and Allied
Sciences
Institute of Heavy Equipment and
Technology
Dar es Salaam School of Journalism
Mashariki
HAS
Community Development
4- 6
Mashariki
SAT
Information Technology
4-5
Mashariki
BTP
Journalism
4-6
West Evan College of Business, Health, Mashariki
and Allied Sciences
BTP
Business Management
4-6
Social Work
Procurement and Supply
Accountancy
16.
St. Joseph’s College, The Institute of
Business and Management – Morogoro
Mashariki
BTP
Business Administration
4-6
Community Development
Records, Archives, and
Information Management
Na
Jina la Chuo
Kanda
Bodi ya
Masomo
Programu
Ngazi ya
Tuzo
Accountancy
Human Resource
Management
Procurement and Logistics
Management
Computing and Information
Communication Technology
Law
17.
Morogoro School of Journalism
Mashariki
BTP
Journalism
5-6
18.
College of Business Education -Dar es
salaam
Mashariki
BTP
Accountancy
4-5
Accountancy and Finance
Accountancy and Taxation
Business Administration
Business Administration in
Records and Archive
Management
Banking and Finance
Information and Technology
Marketing
Meteorology and
Standardization
Na
Jina la Chuo
Kanda
Bodi ya
Masomo
Programu
Ngazi ya
Tuzo
19.
Wapo Media Institute (WMI)
Mashariki
BTP
Procurement and Supply
Management
Marketing Tourism and
Event Management
Transport and Logistics
Management
Journalism
20.
Practical School of Journalism
Mashariki
BTP
Journalism
4- 6
21.
KAM College of Health Sciences -KCHS Mashariki
HAS
Social Work
4
22.
Tanzania Institute of Accountancy- Dar es Mashariki
Salaam
BTP
Accountancy
4-5
Business Administration
Humana Resource
Management
4-5
23.
Paradigms Institute – Dar es Salaam
Mashariki
BTP
Marketing and Public
Relations
Procurement and Logistics
Management
Public Sector Accountant
and Finance
Land Management
4-5
Architecture
Civil Engineering
Na
Jina la Chuo
Kanda
Bodi ya
Masomo
Programu
Ngazi ya
Tuzo
Electrical Engineering
Social Work
24.
Bagamoyo Professional College
Mashariki
BTP
Community Development
4-5
Business Administration
25.
Kigoma Training College
Magharibi
SAT
26.
Tanzania Public Service College-Tabora
Magharibi
BTP
Information and
Communication Technology
Human Resource
Management
Records Archives and
Information Management
4-5
4-5
Secretarial Studies
27.
Comenius Polytechnic Institute
Magharibi
BTP
Community Development
4-6
Accounting and Finance
Procurement and Supply
Management
Information and
Communication Technology
Business Administration
Law
Na
Jina la Chuo
28. Tanzania Institute of Accountancy Kigoma
29.
Victory Health and Allied Sciences
College
Kanda
Magharibi
Magharibi
Bodi ya
Masomo
BTP
HAS
Programu
Ngazi ya
Tuzo
Education Management and
Administration
Accountancy
4-6
Business Administration
4-5
Human Resource
Management
Procurement and Logistics
Management
Community Development
4
30.
31.
Western Tanganyika College
Kaliua Institute of Community
Development
Magharibi
Magharibi
BTP
Business Administration
4-6
BTP
Records Archives and
Information Management
Community Development
4-6
Social Work
Human Resource
Management
32.
St Joseph College - Shinyanga Campus
Magharibi
BTP
Rural Development
Planning
Business Administration
4-6
Human Resource
Management
Procurement and Supply
Na
Jina la Chuo
Kanda
Bodi ya
Masomo
Programu
Ngazi ya
Tuzo
33.
Mbonye Training College
Magharibi
BTP
Community Development
4-6
34.
St. Maxmillian Colbe Health College
Magharibi
HAS
Social Work
4-6
Business Administration
35.
Earth Science Institute of Shinyanga
Magharibi
SAT
Exploration and Mining
Geology
4-5
Petroleum Geology
36.
37.
38.
39.
Local Government Training Institute
Shinyanga Campus
Magharibi
Katavi Institute of Social Science and
development Study
Magharibi
Huheso Institute of Journalism and
Community Development
Magharibi
Tabora Polytechnic College
Magharibi
BTP
BTP
Local Government
Administration and
Management
Local Government
Accounting and Finance
Human Resource
Management
Community Development
4
Community Development
4-6
4
Social Work
BTP
Community Development
4
Journalism
HAS
Records Management
4-6
Journalism
Na
Jina la Chuo
Kanda
Bodi ya
Masomo
Programu
Information and
Communication Technology
Education Management and
Administration
Ngazi ya
Tuzo
Community Development
Tour Guide Operations
Early Childhood Education
and Care
Secretarial Studies
40.
Institute of Accountancy Arusha – Arusha Kaskazini
BTP
Accountancy
4-5
Business Management
Finance and Banking
Computing with information
Technology
Procurement and Logistic
Management
Records, Archives and
Information Management
41.
Na
Tengeru Institute of community
development – Arusha
Jina la Chuo
Kaskazini
BTP
Community Development
4-6
Project Management for
Community Development
Gender and Community
Development
Kanda
Bodi ya
Masomo
Programu
Human Resource
Management
Ngazi ya
Tuzo
Local Government
Administration and
Management
Social work
42.
Tanzania Public Services College – Tanga Kaskazini
Campus
BTP
Human Resource
Management
Procurement and Logistic
Management
Public Administration
4
Records and Archives
Management
Secretarial Studies
43.
44.
45.
46.
Arusha Institute of Business Studies –
Arusha
Kaskazini
Institute of Social Work – Kisangara
Kaskazini
Mwanga – Moshi
Fanikiwa Journalism School (FJS) –
Kaskazini
Arusha
Masoka Professionals Training Institute – Kaskazini
Moshi
BTP
Accountancy
4
Business Administration
BTP
Social Work
4-6
BTP
Journalism
4-6
BTP
Journalism
4-6
Records, Archives and
Information Management
Community Development
Na
Jina la Chuo
Kanda
Bodi ya
Masomo
47.
Habari Maalum College – Arusha
Kaskazini
BTP
48.
Monduli Institute of Technology
Entrepreneurship and Cooperative
(MITEC)
Kaskazini
BTP
City College of Health and Allied
Science-Arusha Campus
Kaskazini
50.
Kilimanjaro International Institute for
Telecommunications, Electronics and
Computers – Arusha
Kaskazini
SAT
51.
JR Institute of Information Technology Kaskazini
SAT
49.
Programu
Leadership
and
Management
Journalism and Media
Production
Accountancy
Ngazi ya
Tuzo
4-6
4-6
Business Administration
BTP
Social work
4
Community Development
Electrical and Computer
Engineering
Electrical and Industrial
Automation
Electrical and
Telecommunication
Engineering
Electrical and Renewable
Energy Engineering
Computing Information
Technology
Business Administration
4
4-6
Information technology
52.
Kaskazini
SAT
Wildlife Management
4
Mweka College of African Wildlife
Management – Moshi
Na
Jina la Chuo
Tour Guide Operations
Kanda
Bodi ya
Masomo
53.
Kisongo Training Institute
Kaskazini
SAT
54.
Tanzania Institute of Accountancy
Mtwara
Kusini
BTP
55.
Programu
Community Based
Conservation.
Captive Wildlife
Management and Taxidermy
Information Communication
Technology
Accountancy
Ngazi ya
Tuzo
4
4-6
Procurement and Logistics
Management
Business Administration
Tanzania Public Service College -Mtwara Kusini
BTP
Human Resource
Management
Records, Archives and
information Management
Secretarial Studies
4-6
Human Resource
Management
Public administration
56.
Kusini
SAT
Community Development
4-6
Saint Thomas Institute of Management and
Technology
Na
Jina la Chuo
Social Work
Business Administration
Kanda
Bodi ya
Masomo
Programu
Ngazi ya
Tuzo
Records, Archives
and
Information Management
Agriculture Production
57.
Polytechnic Institute of Songea
Kusini
BTP
Computing and Information
Technology
Community Development
4-6
Business Administration
58.
Songea Smart Professional College
Kusini
HAS
Information and
Communication on
Technology
Tour Guiding Operations
4-6
Community Development
Social Work
59.
60.
Komu College of Technology and
Management
Mgao Health Training Institute
Nyanda za juu
Kusini
Nyanda za juu
Kusini
SAT
HAS
Computing and Information
Technology
Social Work
Community Development
4-6
4-6
61.
62.
Na
Rungwe International College of Business Nyanda za juu
and Entrepreneurship Development
Kusini
BTP
Tanzania Public Service College - Mbeya Nyanda za juu
Campus
BTP
Jina la Chuo
Kanda
Bodi ya
Masomo
Kusini
63.
College of Business Education – Mbeya
Campus
Nyanda za juu
Kusini
Procurement and Supply
4-6
Community Development
4-5
Records, Archives
and
Information Technology
4-5
Programu
Ngazi ya
Tuzo
Human Resource
Management
Secretarial Studies
BTP
Public Administration and
Leadership Management
Accountancy
4
4
Marketing
Business Administration
64.
65.
Dodoma Institute of Development and
Entrepreneurship Studies
Kanda ya Kati
College of Business Education-Dodoma
Kanda ya Kati
BTP
BTP
Procurements and Supply
Management
Community Development
4-6
Agriculture Production
4-6
Human Resource
Management
Records,
Archives
and
Information Management
4-5
Accountancy
Marketing Management
Business Administration
Procurement and Supplies
Management
Na
Jina la Chuo
Kanda
Bodi ya
Masomo
Programu
Ngazi ya
Tuzo
Marketing in Tourism and
Event Management
Accountancy and Taxation
Logistics and Transport
4-6
Metrology and
Standardization
Banking and Finance
4-5
Marketing in Tourism and
Event Management
4-5
4-5
66.
Dodoma Media College
Kanda ya Kati
BTP
Journalism
4-6
67.
University of Dar es salaam Computing
Centre-Dodoma
Tusaale Business and Planning College
Kanda ya Kati
SAT
4-6
Kanda ya Kati
BTP
Computing and Information
Technology
Community Development
68.
Records, Archives
and
Information Management
4-6
Procurement and Supply
4-6
69.
St. Joseph College - Singida Campus
Kanda ya Kati
BTP
Human Resource
Management
Community Development
4-6
70.
Institute of Rural Development Planning
Kanda ya Kati
BTP and
SAT
Rural Development
Planning
Development
Administration and
Management
4-6
Na
Jina la Chuo
Kanda
Bodi ya
Masomo
Programu
Ngazi ya
Tuzo
Community Development
Geomatics
Urban and Regional
Planning
Accounting and Finance
71.
72.
73.
DECCA College of Health and Allied
Sciences- Dodoma
City College of Health and Allied
Sciences – Dodoma Campus
Kanda ya Kati
HAS
Information and
Communication Technology
Social Work
Kanda ya Kati
HAS
Social Work
4-6
Kanda ya Kati
BTP
Agriculture Production
4-6
4-6
74.
Tanzania Research and Carrier
Development Institute - Dodoma
DONBOSCO Technical InstituteDodoma
Community Development
Kanda ya Kati
BTP
Hospitality Operations and
Management
Vocational Technical
Teacher Educational
Mechatronics Engineering
4-5
5-6
4-6
Civil Engineering
75.
Na
Institute of Accountancy Arusha (Dodoma Kanda ya Kati
Campus)
Jina la Chuo
Kanda
BTP
Bodi ya
Masomo
Human Resource
Management
Accountancy with
Information Technology
Programu
4-5
Ngazi ya
Tuzo
Finance and Banking
76.
Dabaga Institute of Agriculture
Kanda ya Kati
SAT
Agriculture Production
4-6
77.
MGM Health Training Institute
Kanda ya Kati
BTP
Social Work
4-6
78.
Tusaale Business and Planning College
Kanda ya Kati
BTP
Community Development
4-6
Records and Archives
Information management
Procurement and Supply
Management
79.
Dodoma Institute of Development and
Entrepreneurship Studies (DIDES)
Kanda ya Kati
BTP
Community Development
4-6
Agriculture Production
80.
Local Government Training
InstituteHombolo
Kanda ya Kati
BTP
Local Government
Administration and
Management
4-6
Local Government
Accounting and Finance
Procurement and Supplies
Management
Human Resource
Management
Records, Information and
Archives Management
Na
Jina la Chuo
Kanda
Bodi ya
Masomo
Programu
Ngazi ya
Tuzo
Community Development
81.
Tanzania Public Service College –
Dodoma
Kanda ya Kati
BTP
Records, Archives and
Information Management
Public Administration
4-6
Human Resources
Management
Secretarial Studies
82.
83.
84.
85.
86.
Hallmark Southern College for Media and Kanda ya Kati
Technology.
St. Benard Business and Technology
Kanda ya Kati
College-Singida
Kilimatinde Institute of Health and Allied Kanda ya Kati
Sciences (KIHAS)
Zanzibar
Zanzibar Law Resource Centre
BTP
Journalism
4-6
SAT
4-6
BTP
Information Communication
Technology
Social Work
BTP
Law
4-5
The Mwalimu Nyerere Memorial
Academy – Pemba
BTP
ICT
4-6
Zanzibar
4-6
Procurement and Supply
Records and Archives
Community Development
Human Resource
Management
Economic Development
Na
87.
Jina la Chuo
Mwalimu Nyerere Memorial Academy –
Unguja
Kanda
Zanzibar
Bodi ya
Masomo
BTP
Programu
Human Resource Management
Ngazi ya
Tuzo
4-5
Community Development
Youth Work
4
Business Administration
4-5
Records and Achieves and
Information Management
Accountancy
Procurement and Supply
Economic Development
ICT
Library and Information
Management
88.
Institute of Continuing and Professional
Studies
Zanzibar
BTP
Freight Forwarding and
Logistics
Records and Archives
Management
Accountancy
4-6
Project planning and
Management
Human Resource
Management
Na
89.
Jina la Chuo
Glorious Polytechnic College
Kanda
Zanzibar
Bodi ya
Masomo
HAS
Programu
Pharmaceutical Sciences
Clinical Medicine
Ngazi ya
Tuzo
4-6
BTP
90.
91.
Imperial College of Health and Allied
Sciences
Zanzibar
Zanzibar School of Health
Zanzibar
HAS
Human Resource
Management
Pharmaceutical Sciences
4
4-6
Nursing and Midwifery
HAS
Nursing and Midwifery
4-6
Clinical Medicine
Pharmaceutical Sciences
Occupational Health
Counselling Psychology
SAT
Disaster Mgt
ICT
92.
Pemba School of Health
Zanzibar
HAS
Nursing and Midwifery
93.
Mwenge Community College
Zanzibar
BTP
Journalism
94.
Wete Institute of Academic Research and Zanzibar
Consultancy – Pemba
BTP
Community Development
Na
Jina la Chuo
95.
Institute of Public Administration – Zanzibar
Kanda
Zanzibar
Bodi ya
Masomo
BTP
Programu
Human Resources
Management
4
4-6
4
4-6
Ngazi ya
Tuzo
4-5
Records and Archives
Management
Secretarial Studies
Public Administration and
Customer Care
Local Government and
Administration
Public Relations
International Relations and
Diplomacy
Development Planning
Business and Information
Technology
Economics and Finance
Procurement and Supply
Business Management
96.
97.
Na
Microtech Institute of Business and
Technology
Zanzibar
Institute of Professional Innovation
Development
Zanzibar
Jina la Chuo
Kanda
BTP
Procurement and Supply
4-6
BTP
Information Communication
Technology
Business Administration
4-6
Bodi ya
Masomo
Programu
Ngazi ya
Tuzo
Accountancy
98.
99.
Biharamulo College of Business and
Technology
Kanda ya ziwa
College of Youth Education in Tanzania
Kanda ya ziwa
BTP
Business Administration
4-6
BTP
Information Communication
Technology
Business Administration
4-6
Procurement and Supply
Accountancy
100. Jema Institute of Technology
101. Mwanza Polytechnic Institute - Maswa
Kanda ya ziwa
SAT
Kanda ya ziwa
BTP
102. Institute of Rural Development Planning- Kanda ya ziwa
Mwanza
BTP
103. Landmark Institute of Education and
Technology- Geita
Kanda ya ziwa
BTP
104. King Rumanyika Institute
Kanda ya ziwa
Mineral Processing
Information Communication
Technology
Education Management and
Administration
Rural Development
Planning
Community Development
Business Administration
4-6
5-6
4-6
4-6
Accountancy
BTP
Community Development
Business Administration
4-6
Na
Jina la Chuo
105. Cardinal Rugambwa College
Kanda
Kanda ya ziwa
Bodi ya
Masomo
BTP
Programu
Procurement and Supply
Ngazi ya
Tuzo
4-6
Law
Business Administration
Accountancy
106. College of Business Education - Mwanza Kanda ya ziwa
BTP
Accountancy
Marketing
Business and Administration
Procurement and
Supply Management
Information Technology
Digital Marketing
Accountancy &amp
Taxation
Accounting Finance
Human Resource
Management
4-6
Marketing in Tourism and
Event
Na
Jina la Chuo
Kanda
Bodi ya
Masomo
Programu
Ngazi ya
Tuzo
107. DC Polytechnic
Kanda ya
ziwa
BTP
Education
Management and
Administration
4-6
108. BWIMA Institute of Health and Allied
Sciences
109. Nshambya Institute of Education
Kanda ya
ziwa
Kanda ya
ziwa
HAS
Social work
4-6
BTP
Education
Management and Planning
Community Development
4-6
110. Igabiro Training Institute of Agriculture
Kanda ya
ziwa
SAT
Animal Health and
Production
Agriculture Production
4-6
111.
Kaliua Institute of Community
Development
Kanda ya
ziwa
BTP
Community Development
4-6
Social Work
4-6
112. Pasiansi Wildlife Training Institute (PWTI)
Kanda ya
ziwa
SAT
Wildlife Management and
Law Enforcement
4
Download