S.L.P 2987 DODOMA 28.07.2021 Mkurugenzi , Utawala na Rasilimaliwatu, Mamlaka ya usimamizi wa Bima Tanzania. S.L.P 9892, DAR ES SALAAM. K.K: Meneja, Kanda ya Kati – Dodoma, S.L.P 2987, DODOMA. YAH:OMBI LA RUHUSA YA MITIHANI Tafadhali rejea kichwa cha habari hapo juu. Natarajia tarehe 2.08.2021 kwenda Dar es salaam ili niweze kufanya maandalizi ya mitihani ya special ambayo itaanza tarehe 09.08.2021 na kumalizika tarehe 20.08.2021 katika chuo cha Elimu ya Biashara . Baada ya kumaliza mitihani nitarejea Dodoma tarehe 23.08.2021 kuendelea na mafunzo kwa vitendo (Field Practical Training) kama nilivyopangiwa. Natumaini ombi langu litakubaliwa . Rainer Herman. Nakala : Mkurugenzi , Maendeleo ya Soko na Utafiti, Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania.