Questionnaire forms used in the doctoral research project: “The lake is my office”: Fisheries resources in rural livelihoods and local governance on the Rufiji River floodplain, Tanzania. By: Marie-Annick Moreau Fieldwork conducted from Feb 2008 – March 2009. Contents: 1. Household Socio-Economic Survey Form 2. Household Aquatic Resource Use Survey Form (Kiswahili) Adapted from a questionnaire developed by Dr. Caroline Garaway (UCL) 3. Daily fishing activity sheets (Kiswahili). Adapted from a questionnaire developed by Dr. Jean Luc Paul (IRD). 4. Fishing Camps Survey Form (Kiswahili) 5. Market Survey Form (Kiswahili) a. For Fresh & Smoked Fish b. For Fried Fish c. For Dagaa and Shrimp COVER SHEET: ‘CLUSTERS’ Cluster Code: _____________ Sub-Unit Sub-Unit Code Location (Ward, Village) No. of dwellings Name of Head 1 2 3 4 5 Explain: On what basis did you decide to group these sub-units under one cluster? Relationship to other units Survey 1 (Date) Survey 2 (Date or N/A) Village: Sub-Unit Code: Kitongoji: Cluster Code: Did you ask for permission and explain anonymity? □ Date: Interviewer (circle): KT MB M-A YES 1. Describing the unit A. Who are the people who live with you in this house? Are there some people who usually sleep here but eat elsewhere? Are there some people who eat with you but sleep somewhere else? B. Are there people who are part of your kaya but who do not live with you at present? (e.g., a child at school, a parent in Dar es Salaam). C. Do you have another house or a field house (dungu)? [Do you have another wife?] Who lives there? Do they depend on you for food/ help? Do you depend on them? ID House No. First Name Sex Relationship to others in sub-unit For people who are away Birthplace Age Marital status Education Where are they now? How long away? What are they doing there? Main occupations 1 2 1 2 3 4 5 6 7 8 9 0 Sheet _____ of ______ 1.2 Is this unit part of a larger group? NO YES: Describe (e.g., this man has two wives living in different houses; or this man lives close to his father and brothers) 3 Date: Code: 2. Origins and Residency If not born in village, what year arrived? Birthplace (Village, District) First language (or Tribe) Clan (ukoo) Head Wife or Husband of Head Father of Head Mother of Head 3. Current Land holdings of the household We would like to know what fields you and the people who live with you farmed in the past year [i.e., not this year’s fields, but the ones they harvested last year] 3.1 Did you or someone in your house have cultivated land (shambas)…: Tick box after asking □ in the bondeni (river valley)? □ Field No. Location of Field B, J, N, M, O juu (on the terrace)? Name of Field Area □ Cultivated by (ID no.) at njacha? □ matingini (sand banks) Main crops 1 2 3 4 5 6 7 8 9 0 Sheet _____ of ______ Location: B = bondeni, J = juu, N = njacha, M = matingini, O = other □ In another place (away from village)? Type of tree: No. of trees Cultivated Area (shamba) (acres) Total area (Eneo) (acres) Fallow area (acres) Date: Code: 3.2 Do you or someone in your house have any fields that belong to you but are not being cultivated (limelala)? Tick box after asking □ in the bondeni? □ Field No. Field belongs to (ID No.) juu? □ Location B, J, N, O at njacha? □ In another place? Name of Field Area Total Area (acres) 4.2 Livestock (Adult animals only) Today: Do you have lots, some or none? Chicken Duck Goat One year ago: Lots, Some, or None? Type: No. of trees F3 4.3 Fishing Goods Asset Quantity Canoe Nyavu ya kutega ‘Juya’ net ‘Kimea’: Other net: F4 Other net: F5 Hooks Kisi F1 F2 Total Value 3.3 Do you or someone in your house have any fields that belong to you but are being used by other people, for rent or for free (as a gift)? Tick box after asking □ in the bondeni? □ Field No. Field belongs to (ID No.) juu? □ Location B, J, N, O at njacha? □ In another place? Name of Field Area Total Area (acres) Type: No. of trees R1 R2 R3 4. Household assets These questions are about the things owned by anyone who is listed on page 1 of this survey 4.1 ANSWER THIS QUESTION YOURSELF, BY LOOKING AT HOUSE House Materials: For this house that we are in now, what is the main material of: Floor Walls Roof 4.4 Consumer goods and productive assets Item Quantity Saw (msumeno) Hurricane lamp Torch Radio Stereo Television VCR/DVD player Cell phone Generator Sewing machine Chemical sprayer Water pump Gun Bicycle Motorcycle Store or Stand Other Shared with others? Describe Date: Code: 5. Income A. In your house, for the past year, is there anyone who has participated in the following activities to earn cash, food or other income? B. Proportional piling: Of all the food, cash or other income produced or received, how was this distributed among the different activities? Activity Agriculture (maize, rice, vegetables) Cashews Mangos Other tree crops Livestock keeping Fishing (kutega) Fishing (kuvua) Fishing (nyando) Trading fish (outside the village) Processing fish Hunting Charcoal Logs (magogo) Cut planks (mbao) Other timber (furniture, poles) Palm thatch (makuti) Palm fronds (milala) Wild fruits (furu,…) Wild vegetables Weaving: mats, baskets, rope Pottery Carpentry Other building: beds, canoes, … Weaving fish traps Building houses Sewing Bicycle transport Repairs Casual labour Selling food or tea Selling fried fish Selling beer/alcohol Selling other products – describe: Traditional healing/ Mganga Drumming ‘Fundi’ for other ceremonies/ Midwife Selling firewood Collecting water √ or - No. of tokens Rank Activity Salary - describe Pension Renting out rooms Renting out fields Store Remittances Gifts Aid Other? √ or - No. of tokens Rank Date: Code: 6. Participation in fishing and trade 6.1 FISHING: For every person listed on page 1 of this survey who fished during the past year: Person Gear used (list every kind of net used) Main gear Main fishing locations (ID No.) (i.e., produced (list the 3 places where the person went to the most money) fish the most often) Self-assessment: Casual or dedicated? 6.2 TRADE: For every person listed on page 1 of this survey who traded fish outside the village in the past year: Person Did you sell Did you catch the fish yourself, or Main markets sold to (ID No.) Fresh or bought the fish from others? (list the 3 places where the person went to most often to sell his fish) Smoked fish? 7. Wealth ranking: Self-assessment 7.1 What do you think is the situation of your household relative to other households in this village? □ □ □ □ “doing well”: able to meet household needs by own efforts, and making some extra for stores, savings and investments “doing just ok, breaking even”: able to meet household needs but with nothing extra to save or invest “struggling”: managing to meet household needs but by depleting productive assets and/or sometimes receiving support “failing”: unable to meet household needs by your own efforts, dependent on support from community or government (could not survive without help) 7.2 Did you hire a tractor last year to prepare your shamba? NO YES: Where did the money come from to pay for the tractor? ________________________ Conclusion Would you be open to us possibly coming to visit you again, one more time, to ask you more questions about your livelihood activities, your household budget (expenses), and a little bit about your history of participation in fishing? YES NO Utafiti wa chakula kwa familia – HOUSEHOLD AQUATIC RESOURCE USE SURVEY Q1. Taarifa za awali Kijiji Kitongoji Tarehe Mhojaji Muda Alama ya kaya Mahojiano yamefanyika kijijini/shambani Q2. Nani anajibu utafiti huu? Uhusiano wake na mkuu wa kaya Q3. A. Je, una shamba? B. Kuna kiasi gani cha maji? Yamekauka kabisa Yanakaribia kukauka Q4A. NDIYO Bado yapo kiasi HAPANA Yapo mengi ya kutosha (yamefurika) KATIKA MWEZI ULIOPITA 1. Nitajie watu unao kahanao ndani ya familia yako mnapika pamoja na mnakula pamoja? 2. Je, kuna mtu anakula sehemu nyingine na analala ndani ya familia yenu? 3. Je, kuna mtu anakula na analala sehemu nyingine? Jina Uhusiano Umri Jinsi Kwa mwezi Kuanzia jana asubuhi mpaka jana usiku amekula kila milo uliyoandaa? ameishi Mwaka/ kijijini au miezi shambani? kama jibu ni NDIYO weka alama ya 'X' kwa kisanduku Asubuhi 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 Mchana Usiku Q4B. Kuanzia jana asubuhi mpaka jana usiku, kuna mtu zaidi alijumuika nanyi kwa chakula ulichoandaa? kama jibu ni ndiyo,weka alama ya ‘X’ kwa kila kisanduku Chakula cha asubuhi Chakula cha mchana Chakula cha usiku Idadi ya watu Q5. Kuanzia jana asubuhi mpaka jana usiku, kaya yako alikula chakula chake wapi? Chakula cha asubuhi Chakula cha mchana Chakula cha usiku Nyumbani kijijini Shambani BIDHAA ZINZAOVULIWA AU ZINAZAOKUSANYWA Q6. Je, kuanzia jana asubuhi mpaka jana usiku, kuna mtu yeyote kwenye familia yako amevua au amekusanya bidhaa zifuatazo? Weka alama X kwenye kisanduku kinachofaa ikiwa jibu ni Ndiyo. Weka alama ‘O’ kama jibu ni Hapana na uende kwenye kurasa inayofuata. Samaki Ngamba Mamba, Ndasi Viumbe vyote vya majini au Kobe KAMA konokono, boko, ndege, vyura, wadudu wengine... 1 2 3 4 Q7. Tafadhali tuambie zaidi juu ya bidhaa hizo tulizotaja. Makusanyo Aina Nani alivua? ya bidhaa Jina la samaki Wapi Idadi gani Ukubwa alivuliwa? Matumuzi Uzito % uliokula % Uliouza % Kutengeneza na kuhifadhi % uliogawa % uliobadilishana BIDHAA ZILIZONUNULIWA Q8. Je, kuanzia jana asubuhi mpaka jana usiku, kuna mtu yeyote kutoka kwenye familia yako ameshanunua bidhaa yoyote kati ya hizi zilizoorodheshwa hapa chini? Weka alama ya X katika kisanduku kinacho faa kama jibu ni Ndiyo. Weka alama ‘O’ kama jibu ni Hapana Samaki Ngamba Mamba, Ndasi Viumbe vyote vya majini wabichi, au Kobe KAMA konokono, boko, ndege, kukaanga, vyura, wadudu wengine... kukaushwa 1 2 3 4 Q9.Tafadhali tuambie zaidi kuhusu bidhaa hizi Makusanyo Aina ya bidhaa Jina la samaki Wametoka wapi? Matumuzi Idadi (au bei) Ukubwa Uzito % uliokula % Uliouza % Kutengeneza na kuhifadhi % uliogawa % uliobadilishana ZAWADI NA KUBADILISHANA Q10. Je, kuanzia jana asubuhi mpaka jana usiku, kuna mtu kutoka kwenye familia yako ameshapokea kama zawadi au kubadilishana na kitu kingine bidhaa mmoja wapo zilizo tajwa hapa? Weka alama ya X katika kisanduku sahihi kama jibu ni Ndiyo. Weka alama ya O kama jibu ni Hapana. Samaki Ngamba Mamba, Ndasi Viumbe vyote vya majini au Kobe KAMA konokono, boko, ndege, vyura, wadudu wengine... 1 2 3 4 Q11.Tafadhali tuambie zaidi kuhusu bidhaa hizi Matumuzi Makusanyo Aina ya bidhaa Jina la samaki Zawadi (Z) au Mlibadilishana (B)? Idadi Ukubwa Uzito % uliokula % Uliouza % Kutengeneza na kuhifadhi % uliogawa % uliobadilishana MAANDALIZI YA MILO YENYE VYAKULA VILIYOELEZWA Q12. Sasa tutakuuliza kuhusu milo uliopata kuanzia jana asubuhi mpaka jana usiku..... Hatua ya 1.Kwanza, naomba nipitie tena bidhaa zote ulizoniambia kuwa familia yako imekula katika masaa 24 iliyopita,ili niweze kuziandika katika ukurasa huu. Hatua ya 2. Kwa kila aina ya chakula,tafadhali nieleze uliiandaaje kwa ajili ya mlo wako na hatimae kuila. Alama inayoonyesha namna bidhaa ilivyopatikana aliovuliwa 1 alionunuliwa 2 zawadi Namna bidhaa ilivyopatikana 3 aliobadilishwa Uliandaaje kwa ajili ya kula Aina/ jamii (kwa mf. kukaanga, umekula mbichi, Asubuhi ulichoma n.k) 4 Wakati gani mlikula Mchana Usiku Q13 1. Kuanzia jana asubuhi mpaka jana usiku, mlitumia mboga gani? Ilikuwa kama (a) chakula cha asubuhi (b) cha mchana (C) cha usiku? 2. Kuanzia jana asubuhi mpaka jana usiku, mlitumia chakula kingine kama.... Weka alama ya X katika kisanduku sahihi kama jibu ni Ndiyo. Weka alama ya O kama jibu ‘hamkula’. Bidhaa Asubuhi Mchana Usiku Hamkula andika ‘0’ ugali wali mbogamboga za shambani mbogamboga za porini mbogamboga za majini matunda kuku bata ndege wengine – Aina gani? mayai nyama ya kufugwa – Aina gani? nyama ya porini – Aina gani? wadudu wa nchi kavu – Aina gani? chakula kingine ASANTE SANA! JEDWALI ZA ALAMA Mahusiano katika familia Tumia alama hizi kuelezea namana kila mwanafamilia anvyohusiana na mkuu wa familia Mkuu wa kaya/familia 01 Mkwe (wa kike) 07 Mjomba au shangazi 13 Mke 02 mjukuu 08 Mototo wa kaka au wa dada 14 Mke (mwingine) 03 kaka 09 Ndugu mwingine 14 Mtoto wa kiume 04 dada 10 Mtu mwingine ambaye si ndugu 15 Mtoto wa kike 05 mama 11 Mkwe (wa kiume) 06 baba 12 Kutambua Maeneo yaliko kusanywa Tumia alama hizi kutambau maeneo yalikotoka vyakula Mto Rufiji Shamba lako mto mwingine/kijito Shamba jingine Bwawa Ruwe mabwawa mengine Other bwawa - canals Kutambau maeneo yalikonunuliwa Tumia alam hii kueleza yaliko nunuliwa bidhaa kutoka kwa mtu mwingine anyeishi hapo kijijini 01 kutoka kwa mfanya biashara asiyeishi hapo kijijini 02 Kutoka sokoni Ikwiriri/ Kibiti/ Utete 03 kutoka kwenye soko nyingine 04 Other 05 DAILY FISHING ACTIVITY SHEET Tarehe Jina la mvuvi Sehemu ninapovua (kwa mfano Ruwe, Mbembe, Zumbi, n.k.) Ninaenda na kurudi kutoka nyumbani kila siku ndiyo / hapana Ninalala ninapovua ndiyo / hapana Leo nimevua na nani (andika majina) Leo nimeanza kuvua saa hadi saa Uvuvi niliotumia leo (kwa mfano juya, kutega, mkoko, kuchokoa, kisi, n.k.) Leo nimetumia vyombo vifuatavyo Mtumbwi Nyavu Ndwano Kisi Ngapi? Za nani? Kama za kukodi, ghalama? Kama leo limetokea tukio lolote eleza (kwa mfano nyavu ilichanika na mamba, nilianguka na wimbi, n.k.) Kiasi tulichovua leo (andika kama fungu, kg, idadi ya Kiasi tulichokausha samaki, au kipimo kingine) Mapato ya pesa kwa jumla Mapato ya pesa nilizopata mimi Kiasi tulichouza (andika wakavu au wabichi) Tuliuza kwa nani Anaposafirisha wapi (andika: Utete, Kibiti, Ikwiriri, DSM, n.k.) Kiasi cha samaki nilichobaki nacho Nilitumia ifuatavyo Kitoweo cha nyumbani kiasi gani Zawadi Kiasi gani Kwa nani Leo nimefanya shughuli zingine zinazohusu uvuvi (kwa mfano kutengeneza nyavu, kutengeneza mtego, kukausha samaki, n.k.) Leo nimenunua vitu vifuatavyo vinavyohusika na uvuvii (andika idadi na bei) Leo SIKUENDA KUVUA kwa sababu gani? FISHING CAMP SURVEY Kambi: Tarehe: Saa: Code A. FISHING ACTIVITY Siku hizi unatumia uvuvi gani? _______________________________________________ Je, wewe ni mwenye nyavu? Hapana Ndiyo Una nyavu gani? Ngapi? Je, wewe ni mwenye mtumbwi? Hapana Ndiyo 1 2 3 ___ Leo ulivua? Kiasi tulichovua leo (andika kama fungu, kg, idadi ya samaki, au kipimo kingine) Hapana Ndiyo Kiasi tulichokausha Mapato ya pesa ulizopata wewe Uliuza kwa nani B. ORIGINS Unaishi wapi? _________________________ Kiasi tulichouza (andika wakavu au wabichi) Anaposafirisha wapi Umezaliwa wapi? ______________________________ Umeoa? Hapana Una wake wangapi? Mkeo anaishi wapi? _________________ 1 2 3 Mkeo amezaliwa wapi? _______________ Kabila yako? _________________________ Ya mkeo? __________________ Kabila ya baba? __________________________ Ya mama? ________________________ Umri wako? _____________________________ Elimu? ___________________________ D. ECONOMIC STATUS Je, umelima mwaka huu? Hapana Pamoja, mna mashamba mangapi? Shamba 1 2 3 4 Ukubwa Ndiyo Na mkeo, amelima mwaka huu? Hap Ndiyo Uliza: Shamba lingine? Shamba la miti? Shamba la mkeo? shamba limelala? Mazao Mafuriko? Je, una mazao ya kudumu? Miti mingapi? Mikorosho Miembe Migomba Minazi Michungwa Je, una… Ngapi? Baisikeli Pikipiki Nyumba Nyumba ya kukodi (Rent?) Duka (Profit?) Bunduki Msemeno Simu Kuku Bata Mbuzi Do you give remittances to others? ________________/ month Do you receive remittances? ____________/month Mbali na kilimo na uvuvi, je kuna shughuli zingine za kiuchumi ulizofanya mwaka uliopita kwa ajili ya kipato au chakula? Shughuli zipi kati ya hizi ni muhimu zaidi katika kukidhi mahitaji yako ya kila siku.Ya pili? Ya tatu? Activity Kilimo Kuvua Kufuga wanyama Mbao Mkaa Kibarua Biashara Kuwinda Nyingine... Participated? Yes/No D. MOVEMENTS Je, siku hizi unalala kambini? Rank (#1, #2, #3) Unalala wapi? _____________________________ Ndiyo Umekuja kambi hii lini? _____________________ Je, una ndugu/ familia/ rafiki wowote vijijini hapa (Ruwe, Mbambe, Mbunju, Mkongo...)? Eleza: _________________________________________________________________________________________________ Je, mwaka huu, kabla ya kufika hapa, ulivua samaki sehemu nyingine? Ulikaa muda gani? Ulivua bondeni? Mwezi wa .... Sehemu Muda Mwezi wa... Je, mwaka huu unavua zaidi au punguzu ukilinganisha na mwaka jana? More Sehemu Same Muda Less Je, unaenda kuvua samaki sehemu zile zile au sehemu tofauti na ulizoenda mwaka jana? Kwa sababu gani? ________________________________________________________________________________________ JEDWALI LA TAARIFA ZA UTAFITI – MARKET SURVEY FORM: FRESH & SMOKED FISH Mahali ilipo soko: _________________________ Namba ya genge:___________________ Tarehe:____________________ Mhojaji:_________________________ Muda wa kuanza: ____________________ *KABLA HUJAANZA UTAFITI OMBA RIDHAA YA MSHIRIKI ILI AKUKUBALIE KUMHOJI ** SEHEMU YA 1: MUUZAJI 1.1 Umewahi kuhojiwa na mtafiti kabla (zungushia jibu sahihi): Hapana Ndiyo --> Kama jibu ni Ndiyo, Jibu jina na andika namba ya kitambulisho ___________. Je biashara mwezi huu ni MORE, LESS or SAME as last month? --> Uende SEHEMU 3! 1.2 Jinsi: Me Ke 1.3 Umri (jibu): ________________ 1.4 Aina ya genge: Ya kudumu Ya muda 1.5 Je, wewe ni... Mwenyewe Mfanya kazi 1.6 Unaishi wapi? Kijiji: _______________________________ Wilaya: ____________________________ 1.7 Ulizaliwa wapi? Kijiji: _______________________________ Wilaya: ____________________________ 1.8 Lugha yako ya kwanza kuzungumza kama mtoto nyumbani kwa wazazi wako ni ipi? _______________________________________________ --> Wakisema ni kiswahil, basi uliza kama kuna lugha nyingine wamejifunza tofauti na Kiswahili. SEHEMU YA 2: SHUGHULI ZA KIBIASHARA 2.1.A Je, unauza samaki kwenye masoko mengine pia?: Hapana Ndiyo --> Kama jibu ndiyo, uliza: 2.1.B Ni masoko yepi mengine unayoenda kuuza samaki?: ____________________________________ 2.2 Ni miezi ipi katika mwaka unafanya biashara ya kuuza samamki sokoni? --> Weka alama X katika kisanduku chenye mwezi/miezi wanao fanya biashara ya kuuza samaki Mwezi 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 wa 2.3.A Mbali na biashara ya kuuza samaki sokoni, una shughuli nyingine unayoifanya inayokuingizia kipato? Hapana --> Kama jibu hapana, uliza: 2.3.B Una shamba? Hapana Ndiyo Ndiyo --> Kama jibu ndiyo, uliza: 2.3.C Ni shughuli zipi zingine unazofanya zinazokiungizia kipato?: __________________________________________________________________ 2.4 Kati ya biashara ya kuuza samaki na hizo shughuli zingine, ni shughuli ipi inakuingizia ela nyingi zaidi kwa mwaka? --> Waulize, wataje shughuli moja tu inayowaingizia ela nyingi zaidi kwa mwaka? __________________________________________________________________________________ Mahali ilipo soko: _________________________ Tarehe:____________________ Namba ya genge:___________________ SEHEMU YA 3: BIDHAA KUUZA Aina ya samaki Ukubwa 'State' wabichi – kwa jua – kwa moto kukaanga Kwa kipimo gani Bei Idadi ya fungo KUNUNUA Idadi ya samaki (jumla AU kila fungo) Kwa kipimo gani Bei Idadi AU bei ya samaki (jumla) 'State' Wabichi – kwa jua – kwa moto kukaanga Amenunuliwa wapi? Wamevuliwa wapi? Siku ya kununua ULIZA JINA LAKE: _______________________________________________________________ ASANTE!! NA KULIPA KODI YA GENGEMahali ilipo soko: __________________ Tarehe:_______________ Namba ya genge:______ Amepatikana kutoka kwa nani? SEHEMU YA 3: BIDHAA - PAGE 2 KUUZA Aina ya samaki Ukubwa 'State' wabichi – kwa jua – kwa moto kukaanga Kwa kipimo gani Bei Idadi ya fungo KUNUNUA Idadi ya samaki (jumla AU kila fungo) Kwa kipimo gani Bei Idadi AU bei ya samaki (jumla) 'State' Wabichi – kwa jua – kwa moto kukaanga Amenunuliwa wapi? Wamevuliwa wapi? Siku ya kununua Amepatikana kutoka kwa nani? JEDWALI LA TAARIFA ZA UTAFITI – Muuzaji wa samaki kukaanga – MARKET SURVEY: FRIED FISH Mahali ilipo soko: _________________________ Namba ya genge:___________________ Tarehe:____________________ Mhojaji:_________________________ Muda wa kuanza: ____________________ *KABLA HUJAANZA UTAFITI OMBA RIDHAA YA MSHIRIKI ILI AKUKUBALIE KUMHOJI ** SEHEMU YA 1: MUUZAJI 1.1 Umewahi kuhojiwa na mtafiti kabla (zungushia jibu sahihi): Hapana Ndiyo --> Kama jibu ni Ndiyo, Jibu jina na andika namba ya kitambulisho ___________. Je biashara mwezi huu ni MORE, LESS or SAME as last month? --> Uende SEHEMU 3! 1.2 Jinsi: Me Ke 1.3 Umri (jibu): ________________ 1.4 Aina ya genge: Ya kudumu Ya muda 1.5 Je, wewe ni... Mwenyewe Mfanya kazi 1.6 Unaishi wapi? Kijiji: _______________________________ Wilaya: ____________________________ 1.7 Ulizaliwa wapi? Kijiji: _______________________________ Wilaya: ____________________________ 1.8 Lugha yako ya kwanza kuzungumza kama mtoto nyumbani kwa wazazi wako ni ipi? _________________________________________ --> Wakisema ni kiswahil, basi uliza kama kuna lugha nyingine wamejifunza tofauti na Kiswahili. SEHEMU YA 2: SHUGHULI ZA KIBIASHARA 2.1.A Je, unauza samaki kwenye masoko mengine pia?: Hapana Ndiyo --> Kama jibu ndiyo, uliza: 2.1.B Ni masoko yepi mengine unayoenda kuuza samaki?: ____________________________________ 2.2 Ni miezi ipi katika mwaka unafanya biashara ya kuuza samaki sokoni? --> Weka alama X katika kisanduku chenye mwezi/miezi wanao fanya biashara ya kuuza samaki Mwezi 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 wa 2.3.A Mbali na biashara ya kuuza samaki sokoni, una shughuli nyingine unayoifanya inayokuingizia kipato? Hapana --> Kama jibu hapana, uliza: 2.3.B Una shamba? Hapana Ndiyo Ndiyo --> Kama jibu ndiyo, uliza: 2.3.C Ni shughuli zipi zingine unazofanya zinazokiungizia kipato?: __________________________________________________________________ 2.4 Kati ya biashara ya kuuza samaki na hizo shughuli zingine, ni shughuli ipi inakuingizia ela nyingi zaidi kwa mwaka? --> Waulize, wataje shughuli moja tu inayowaingizia ela nyingi zaidi kwa mwaka? __________________________________________________________________________________ Mahali ilipo soko: _________________________ Tarehe:____________________ Namba ya genge:___________________ SEHEMU YA 3: BIDHAA IF SELL AND BUY BY SIZE GROUP --> USE THIS ALTERNATE TABLE Kundi Bei (mmoja mmoja) Samaki Idadi UMENUNUA kwa kipimo gani UMENUNUA kwa bei gani UMENUNUA Idadi gani Wamenunuliwa wabichi au kukaanga? Wamenunuliwa wapi? Wamenunuliwa lini? Wamepatikana kutoka kwa nani? 1 2 3 4 5 --> If sell AND/OR buy by fish type and not by size group, USE REGULAR TABLE KUUZA Aina ya samaki Ukubwa 'State' wabichi – kwa jua – kwa moto kukaanga Kwa kipimo gani Bei Idadi ya fungo KUNUNUA Idadi ya samaki (jumla AU kila fungo) Kwa kipimo gani Bei Idadi AU bei ya samaki (jumla) ULIZA JINA LAKE: _______________________________________________________________ 'State' Wabichi – kwa jua – kwa moto kukaanga Amenunuliwa wapi? Wamevuliwa wapi? Wamenunuliwa lini? ASANTE!! NA KULIPA KODI YA GENGE JEDWALI LA TAARIFA ZA UTAFITI – Muuzaji wa dagaa – MARKET SURVEY: DAGAA AND SHRIMP Amepatikana kutoka kwa nani? Mahali ilipo soko: _________________________ Tarehe:____________________ Mhojaji:_________________________ Namba ya genge:___________________ Muda wa kuanza: ____________________ *KABLA HUJAANZA UTAFITI OMBA RIDHAA YA MSHIRIKI ILI AKUKUBALIE KUMHOJI ** 1.1 Umewahi kuhojiwa na mtafiti kabla (zungushia jibu sahihi): 1.2 Je, wewe ni... Mwenyewe Hapana Ndiyo Mfanya kazi 1.3 Ni miezi ipi katika mwaka unafanya biashara ya kuuza dagaa sokoni? --> Weka alama X katika kisanduku chenye mwezi/miezi wanaofanya biashara ya kuuza dagaa Mwezi 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 wa 1.4 Bidhaa Aina ya dagaa/ ya ngamba 'State' kwa jua – kwa moto? UNAUZA kwa kipimo gani UNAUZA kwa Bei gani UMENUNUA UMENUNUA Kwa kipimo kwa bei gani gani Idadi imenunuliwa * Ikiwa hajui idadi inabaki, uliza: Kwa kawaida, hununua dagaa lini? (kila wiki, mwezi,...) ULIZA JINA LAKE: _______________________________________________________________ ASANTE!! NA KULIPA KODI YA GENGE Idadi inabaki sasa* Umenunua lini? Umenunua wapi? Amepatikana kutoka kwa nani?