Back
Flashcards: M/Wa Class Nouns
mtoto/watoto
child/children
mgeni/wageni
visitor(s)
mfaransa/wafaransa
French person/people
mjomba/wajomba
uncle(s)
mke/wake
wife/wives
mkulima/wakulima
farmer(s)
mpishi/wapishi
cook(s)
msichana/wasichana
girl(s)
mtu/watu
person/people
mume/waume
husband(s)
mvulana/wavulana
boy(s)
mzee/wazee
elder(s)
mzungu/wazungu
white person /people
mjerumani/wajerumani
German person/people
mwanamume/wanaume
man/men
mwanamke/wanawake
woman/women
mwalimu/walimu
teacher(s)
mwanafunzi/wanafunzi
student(s)
mwafrika/waafrika
African person/people
mpwa / wapwa
niece(s) / nephew(s)
baba/baba
father(s)
babu/babu
grandfather(s)
dada/dada
sister(s)
kaka/kaka
brother(s)
mama/mama
mother(s)
nyanya/nyanya
grandmother(s)
rafiki/marafiki
friend(s)
shangazi/shangazi
aunt(s)
kipofu/vipofu
blind person/people
kiziwi/viziwi
deaf person/people
kijana / vijana
youth(s)