KIKAO CHA KWAYA CHA TAREHE 18 NOV 2023 MAHUDHURIO NA JINA 1 PR. ANTONY MANYANDA 2 PETER KAZIMOTO 3 MALIMI S. MDONGO 4 PERAJIA RUBATUKA 5 ELIDA GODSON 6 HIMIDI NATHANAEL 7 WILSON JOTHAM 8 GILSELDA MBUMBA 9 BOAZ ELIAS 10 SARAFINA 11 JORAM KABADUMBA 12 STEPHANIA MGANDA 13 WADHIFA MCHUNGAJI MZEE WA KANISA KATIBU WA KWAYA MWIMBAJI MWIMBAJI MWIMBAJI MWIMBAJI MWIMBAJI MWIMBAJI MWIMBAJI MWIMBAJI MWIMBAJI SAHIHI AGENDA 1. Kufungua kikao. 2. Uhai wa kwaya. 3. Uinjilist 4. Ununuzi wa piano/kinanda cha kwaya. KUFUNGUA KIKAO Kikao kilifunguliwa na Mzee wa kanisa mzee Peter Kazimoto (Ndiye alikuwa mwenyekiti wa kikao) mnamo saa 8:15 Alasiri kwa kuwauliza wajumbe kuimba wimbo namba 12 na baada ya wimbo ombi la ufunguzi lilitolewa na____________. Baada ya ombi mwenyekiti alimruhusu katibu kusoma ajenda za kikao ambapo katibu alisoma ajenda hizo kama zilivyoorodheshwa katika kipengele cha ajenda hapo juu. 1. UHAI WA KWAYA 1.1. Changamoto Mwenyekiti wa kikao aliwaruhusu wanakwaya wachangie mambo kadha wa kadha yanayodhaniwa yanahafifisha uhai wa kwaya. Wakitoa michango mbaimbali wajumbe waliibua changamoto zifuatazo. i. Waimbaji wengi wamekuwa waimbaji wa matukio. Wengi wao huonekana wakisikia kuna dhiara ya kikwaya. ii. Wanakwaya wengi kutozingatia muda wa mazoezi uliopangwa na kupelekea mazoezi kutofanywa kwa wakati. iii. Walimu wa kwaya kutoonekana kwenye mazoezi ya kwaya hivyo hupelekea kuvunjika moyo kwa baadhi ya wanakwaya. 1.2. Utatuzi wa changamoto hizo Ili kuepukana na changamoto hizo wajumbe walishauri na walipendekeza yafuatayo. i.