Form #: 76061-2023 S1032.0061.2020 LOCAL UNDERGRADUATE LOAN APPLICATION (Fomu ya Maombi ya Mkopo kwa Wanafunzi wa Shahada ya Kwanza Ndani ya Nchi) TAARIFA BINAFSI NA ANUANI ZA MWOMBAJI (APPLICANT'S PERSONAL DETAILS) Jina Kamili (Full Name): : SAVERA ALLY MOSI Jinsia (Sex): : FEMALE Tarehe ya Kuzaliwa (Date of Birth): : 2004-04-02 Mkoa ulikozaliwa (Birth Region): : Singida Namba ya Simu ya Mkononi (Mobile Phone ): : +255752287234 TAARIFA ZA BENKI ZA MWOMBAJI (APPLICANT'S BANK DETAILS) Jina La Benki (Bank Name) : NMB Namba ya Akaunti: 51910016379 Form four Indexno: S1032.0061.2020 Jina la mwenye akaunti : SAVERA ALLY MOSI TAARIFA YA ELIMU YA MWOMBAJI (EDUCATIONAL BACKGROUND) Shule ya Sekondari Kidato cha Nne (O-level Secondary School): ITIGI SECONDARY SCHOOL (Not Sponsored) Namba ya Mtahiniwa Kidato Cha Nne (Form Four Index Number): S1032.0061.2020 Shule ya Sekondari Kidato cha Sita (A-level Secondary School): KIJOTA HULL HIGH SECONDARY SCHOOL (Not Sponsored Namba ya Mtahiniwa Kidato cha Sita (Form Six Index #): S4163-0548-2023 TAARIFA ZA KIJAMII NA KIUCHUMI ZA MWOMBAJI (APPLICANT'S SOCIO-ECONOMIC DETAILS) Hali ya wazazi/mlezi na Mwombaji. (Parents' Physical/Social-economic Status): Baba yuko hai?: Ndio Mama yuko hai?: Ndio Mwombaji ni mlemavu?: Mwombaji hana ulemavu wowote (Applicant is NOT Disabled) Wazazi ni walemavu?: TASAF: Familia ya mwombaji haina udhamini wa TASAF (Applicant's Family is not TASAF member) TAARIFA ZA WAZAZI/MLEZI (PARENTS' /GUARDIAN'S DETAILS) Jina Kamili la Mama (Mother's Full Name): DOROTHY MWEZI MDACHI Anuani ya Posta ya Mama (Mother's Postal Address): P.O.BOX 70 Kazi ya Mama: MKULIMA Namba ya simu ya Mama (Mother's Mobile Number): +255765728608 Jina Kamili la Baba (Father's Full Name): ALLY MOSI BWANAMBISI Anuani ya Posta ya Baba (Father's Postal Address): P.O.BOX 70 Kazi ya Baba: MKULIMA Namba ya simu ya Baba (Father's Mobile Number): +255743339151 Create at 8/21/2023, 11:08:43 AM Page 1 of 7 Form #: 76061-2023 MKATABA WA MKOPO KWA MWANAFUNZI MKOPAJI - 2023 1.0 Wahusika wa Mkataba huu. Mkataba huu ni kati ya Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu, yenye anwani hapo juu, ambayo ndani ya mkataba huu itajulikana kama "Bodi" na SAVERA ALLY MOSI ,mwenye namba ya mtihani na ambaye katika mkataba huu atajulikana kama Mwanafunzi Mkopaji. 2.0 S1032.0061.2020 Kanuni na Masharti 2.1: Mkataba wa mkopo huu utasainiwa mara moja tu kwa kipindi chote cha masomo. Nyongeza au mafungu ya mkopo ambayo Mkopaji atapewa kila mwaka kwa pamoja yatakuwa sehemu ya mkataba huu 2.2: Kiasi cha fedha atakachokopeshwa Mwanafunzi Mkopaji kwa mujibu wa mkataba huu, kitakuwa ni zile fedha zitakazopelekwa moja kwa moja kwenye akaunti yake ya Benki na kile kiasi kitakacholipwa taslimu moja kwa moja kwa Mwanafunzi Mkopaji kupitia chuo anachosoma, na fedha ambazo zitalipwa moja kwa moja kwenye akaunti ya chuo anachosoma Mwanafunzi Mkopaji na zile ambazo zitaendelea kulipwa ama kwa Mwanafunzi Mkopaji ama kwa chuo zikihusishwa na gharama za masomo ya Mwanafunzi 2.3: mkopaji. Kwa madhumuni ya mkataba huu, Bodi itaendelea kutoa mkopo kwa muda wa kawaida wa masomo (Normal Course Duration) hadi Mwanafunzi Mkopaji atakapohitimu masomo yake na fedha hizo zitakuwa ni mkopo. Kwa madhumuni na masharti yaliyopo kwenye kifungu cha 2.2 cha mkataba huu, Mwanafunzi Mkopaji atakuwa na jukumu la kuijulisha Bodi juu ya kutohitaji fedha za Mkopo pale ambapo hatahitaji kuendelea kukopeshwa. 2.4: Mkopo kwa ajili ya ada ya mafunzo na mahitaji maalum ya kitivo zitalipwa moja kwa moja katika chuo anachosoma Mwanafunzi. 2.5: Mkopo unaohusu gharama za Mwanafunzi Mkopaji za moja kwa moja utapelekwa kwenye akaunti ya benki ya Mwanafunzi Mkopaji kwa awamu ama atapewa Mwanafunzi Mkopaji kupitia chuo anachosoma. 2.6: Akaunti ya Mwanafunzi Mkopaji iliyo katika kumbukumbu za Bodi haitabadilishwa isipokuwa kwa maombi ya Mwanafunzi Mkopaji ambayo yamepitishwa na chuo anachosoma. 2.7: Mwanafunzi Mkopaji ana wajibu wa kujulisha Bodi kuhusu mabadiliko yoyote yale yanayoweza kuathiri utoaji au urejeshwajiwa mkopo kwa namna yoyote ile. Mwanafunzi Mkopaji pia ana wajibu wa kuipatia Bodi taarifa nyingine zozote zile zinazohusiana na mkopo wake pale atakapotakiwa kufanya hivyo na Bodi. 2.8: Kutokana na mkopo utakaokopeshwa na Bodi, mwanafunzi Mkopaji anawajibika wakati wote wa kipindi cha masomo yake kuheshimu na kutii sheria ndogo za chuo, kanuni na maelekezo yatolewayo mara kwa mara na chuo anachosoma. 2.9: Bodi inaweza kusitisha mkopo kwa mwanafunzi Mkopaji : a) Endapo Mwanafunzi Mkopaj atafukuzwa au kushindwa kuendelea na masomo kwa kutofaulu katika chuo husika, b) Kwa maombi ya Mwanafunzi Mkopaji, c) Endapo Mwanafunzi Mkopaji atashindwa kuzingatia makubaliano yaliyopo katika kifungu cha 2.8 hapo juu, d) Endapo Mwanafunzi Mkopaji atakataa kusaini marejesho (returns) ya fedha alizolipwa au alizolipiwa kupitia chuoni, e) Kama Mwanafunzi Mkopaji atafariki dunia, f) Endapo itathibitika kwamba Mwanafunzi Mkopaji ana ufadhili au chanzo kingine cha kugharamia elimu yake, au g) Kwa sababu nyingine yoyote itakayoonekana na Bodi inafaa. 2.10: Endapo itabainika kwamba Mwanafunzi Mkopaji ametoa taarifa za udanganyifu kwa kudhamiria au vinginevyo na taarifa hizo zikawezesha Mwanafunzi Mkopaji kupewa mkopo na Bodi; Bodi itasitisha kumpatia mwanafunzi sehemu ya mkopo uliobakia,na kiasi chochote cha mkopo kitakachokuwa kimetolewa atatakiwa kukirejesha chote kwa mara moja. Pamoja na kurejesha kiasi chote cha mkopo alichokopeshwa Mwanafunzi Mkopaji kwa mkupuo. Bodi pia itamchukulia Mwanafunzi Mkopaji husika hatua za kisheria kadri ya sheria inayounda Bodi ama sheria nyingine yoyote ya nchi inayohusika. Create at 8/21/2023, 11:08:43 AM Page 3 of 7 Form #: 76061-2023 2.11: Endapo Mwanafunzi Mkopaji ataacha au kuachishwa masomo kwa sababu yoyote ile au kuthibitika kutoa taarifa za uongo, Bodi haitakamilisha utoaji wa fedha zilizobakia na mkopo uliokwisha tolewa utatakiwa kuanza kulipwa mara moja. Kwa madhumuni ya Mkataba huu, masharti yaliyopo kwenye sheria iliyoanzisha Bodi na kanuni zilizotungwa chini ya sheria hiyo vitakuwa sehemu ya mkataba huu. 2.12: Mkopo utaanza kurejeshwa miezi ishirini na nne (24) baada ya kuhitimu, lakini Mwanafunzi Mkopaji yuko huru kuanza kulipa muda wowote baada ya kuhitimu. 2.13: Kutokana na masharti ya Sheria ya Bodi na kanuni zake, mkopo utarejeshwa kwa mafungu kila mwezi au wote kwa mkupuo au kwa njia nyingine yoyote ya malipo inayofaa kama itakavyoelekezwa na Bodi. 2.14: Bodi itatoa taarifa kuhusu kiasi cha mkopo alichokopeshwa Mwanafunzi Mkopaji kwa kila mwaka wa masomo, na jumla ya kiasi kilichoonyeshwa katika taarifa hiyo itakuwa ndicho kiasi anachodaiwa Mwanafunzi Mkopaji mpaka mwaka husika. Taarifa hiyo itachukuliwa kuwa sahihi mpaka pale itakapothibitika vinginevyo 2.15: Bodi itakuwa huru kumkopesha Mwanafunzi Mkopaji kiasi chochote itakachoona kinafaa kwa kuzingatia mahitaji ya kozi anayosoma na matokeo ya uhitaji kwa mujibu wa king'amuzi uwezo. 2.16: Mkopo huu utatozwa asilimia moja ambayo ni gharama ya usimamizi wa mkopo (administration fee) ambazo zitalipwa pamoja na marejesho ya mkopo. Endapo kutakuwa na mabadiliko yoyote ya sheria yatahusu mkataba huu. 2.17: Bodi itakuwa na mamlaka ya kuthibitisha taarifa zinazonihusu nilizoweka katika maombi haya kutoka katika mamlaka yoyote. 2.18: Bodi itakuwa na mamlaka ya kuomba na kupokea matokeo yangu ya mitihani moja kwa moja kutoka chuo nitakachopangiwa au ninachosoma ili kuwezesha upangaji wa mikopo kwa miaka ya masomo inayofuata. Create at 8/21/2023, 11:08:43 AM Page 4 of 7 Form #: 76061-2023 3.4 Kwa Matumizi ya Ofisi ya Bodi ya Mikopo TU Jina Kamili la Ofisa wa Bodi : ___________________________________________ Cheo: ___________________________________________ Sahihi :____________________________ Tarehe : _____________________________ Muhuri wa ofisi hapa Create at 8/21/2023, 11:08:43 AM Page 6 of 7 Form #: 76061-2023 Orodha ya Viambatisho (List of Attachments) Tafadhali ambatanisha nakala za vivuli vilivyothibitishwa (certified copies) za nyaraka zifuatazo ili kuthibitisha maelezo yako 1. Cheti cha kuzaliwa (Uthibitisho wa uraia) : 2. Nakala ya kitambulisho cha mdhamini : Birth Certificate Number : 230726J1343-BV 19860814434310000116 Maelekezo Mengine 1: Tunza nakala (copy) ya fomu iliyosainiwa pamoja na viambatisho vyote kwa kumbukumbu yako ya baadaye. 2: Tarehe ya mwisho ya kupokea maombi ni undefined. 3: Fomu iliyokamilika ni fomu ambayo imesainiwa na Mwombaji sehemu mbili, imesainiwa na mdhamini, Mahakama/Wakili, Serikali ya Mitaa/Kijiji, pamoja na kuambatanisha na nyaraka za vyeti vilivyothibitishwa Create at 8/21/2023, 11:08:43 AM Page 7 of 7