kupanda kwa gharama za maisha kumeibua mawazo mengi kwa vijana walio wengi hasa ni kwa wale ambao bado wanadhamna ya kuShikiliwa maisha na mtu mwingine Ni kweli gharama za maisha zimekuwa juu sana, na tukisema kila mmoja aalamike bado haitakuwa n jia sahii ya kuendana na hali halisi ya maisha kwa hivi sasa..... karibu kusikiliza makala inayo angazia ni kwanamna gani vijana wa vyuo vikuu na vya kati wanaweza kukabiliana na changamoto ya kupanda kwa gharama za maisha .... inayoletwa kwako nami Grace ibrahim VIJANA WENGI WALIOKO VYUO VIKUU NA VYAKATI HUONA MAISHA KUWA MAGUMU HII NI PALE WANAPO KUWA wANAAMINI KUWA JUKUMU LA MAISHA YAO SIO LAO BALI NI LA wazazi pamoja na walezi wao. . Lakini unapokubali kuwa jukumu la maisha yako ni lako unakubali kuyabeba maisha yako kama yalivyo. na kwa kupitia hili hakuna mtu atakaelumiwa juu ya maisha ya mtu mwingine Matumizi SAHII ya pesa ni muhimu yaende sambamba na malengo uliyojiwekea; yawe ya muda mfupi au mrefu ili kuhakikisha kila ulichokipanga hakiathiriwi na matumizi yako . vyuo vikuu navyuo vya kati hukutanisha vjana mbalimbali kote nchini ambao kati yao wapo ambao wananufaika na mikopo kutoka serikalini wakati wengine maisha yao hutegemea kwa kiasi kikubwa kutoka kwa wazazi wao ili waweze kujikimu kimaisha wawapo katika mazingira ya chuo. MOSHI KONI ni mwanafunzi katika chuo kikuu cha mt augustino ambae anaeleza utofauti wa haLI ya kimaisha aliyonayo kwa sasa kutokana na ugumu wa maisha licha ya kwamba yeye ni mnufaiika wa mkopo kutoka serikalini cut.... kone licha ya mwanafunzi huyu kuona bado pesa anayoipata hitoshi kukidhi mahitaJI yake kama m wanafunzi licha ya kwamba yeye ni mnufaika wa mkopo lakini pia wapo wanafunzi ambao sio wanufaika lakini bado wanapambana kukabilina na kupanda kwa gharama za kimaisha kama ilivyo kwa khadija moree ambae ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu kwa yeye hutegemea pesa kutoka kwa wazazi wake ambae pia anaeleza ni kwa namna gani anakabiliana na kupanda kwa gharama za maisha cut khadija mbali na wanafunzi wenye mikopo na wasio na mikopo bali pia wapo wanafunzi ambao walipoanza masomo walikuwa hawana mikopo lakini wamebahtika kupata mikpo wakiwa wanaendel;ea na masomo... KAMA ILIVYO KWA JOHN CLAKSON...... KUIGA KWA MITINGO YA KIMAISHA KWA WANAFUNZI WENGI WALIOVYUONI IMEELEZWA KUWA NI MOJA YA CHANGAMOTO AMBAYO INAPELEKEA WENGI WAO KUSHINDWA KUISHI KULINGANA NA HALI YA KIM,AIHS ILIVYO KWA SASA SUALA AMBALO HUPELEKEA WENGI WAO KUINGUIA KATIKA SHUGHULI ZISIZO RASMI KWA LENGO LA KUPATA PESA ILI KUJIKIMU KIMAISHA WAWAPO VYUONI..... LAKINI PIA KUSHINDWA KUJUA KILE KILICHOWAPELEKA VYUONI. KHADIJA HAPA ANATUELEZA NI KWA NAMNA GANI YEYE MITINDO YA KIMAISHA YA WATU WENGINE HAIMUATHIRI LICHA YA KUWA NA MARAFIKI WENYE UWEZO TOFAUTI TOFAUTI .......KHADIJA TATIZO LIMESHAJULIKANA NA INATAKIWA MAISHA MENGINE YAENDELEE LICHA YA KWAMBA BEI YA VYAKULA NA BIDHAA MBALIMBALI ZIMEPAANDA EMMY MICHAEL YEYE ANELEZA NI KWA NAMNA GANI YEYE ANACHUKU HATUA ILI KUWEZA KUENDANA NA HALI HII YA KUPANDA KWA GHARAMA ZA MAISHA CUT.....EMMY VIVYO INAELEZWA NA KIJANA EMMENUEL HAIMU ........KUHUSU NMAN ANAVYOENDANA PIA NA HALI YA SASA YA KIMAISHA...... NI KWELI KWAMBA WAPO WANAFUNZI VYUONI AMBAO BADO HAWAELEWI NAMNA GANI WANAWEZA KUPANGA VYEMA BAJETI ZAO KULINGANA PESA AMBAYO WANAYOIPATA ILI KUJIWEKA SEHEMU SALAMA KABISA YA KUKABILIANA NA CHANGAMOTO YA KIMAISHA HUSUSANI KATIKA HALI YA SASA SAUALA HILI LIKANIFANYAKUPIGA HODI1 na kumtafuta mchumi kutoka chuo cha mt augustino ndaki ya mwanza DR..ISACK SAFARI ambae pia ameeleza zipi sababu zinazo wafanya wanafunzi waliowengi kushindwa kuendana na hali ya kimisha ya sasa licha ya kwamba wapo baadhi wanao pata fedha za kujikimu kutika serikalini cut ..... DR ISAACK mbali na kutoa sababu hizo lakini pia hapa anaeleza licha ya kwamba hali ya kimaisha imepanda kwa kiasi kikubwa anatuweka wazi ni kwanamna gani vijana hususani walio katika vyuo vikuu na vya kati wanaweza kukabiliana na changamoto hii kwa sasa il fedha wanazopata ziweze kuendana na hali ya kimaisha cut.......DR SAFARI ALIONGEZA KWA KUSEMA KIKAWAIDA SUALA LA KIUCHUMI HUTEGEMEANA NA MTU MWENYEWE NAMNA ANAVYOKUBALIANA NA HALI HLISI YA KIMAISHA ILI KUENDANA NA UHALISIA ULIOPO KWA SASA HIVYO WWANAFUNZI WAMEOMBWA KUISHI KULINGANA NA UHALISIA WA MAISHA YAO. EWE KIJANA UNASHAURIWA...usijali kuona watu wengine watakufikiriaje, angalia unataka nini, hata ukijali watu hakuna mtu anayekuja kwako nakukuambia naomba nikusaidie kulipia bili, zote unapambana wewe mwenyewe kwaninni sasa katika matumizi uwafurahishe watuwengine? Kuwa makini sana na jali maisha yako na siyo maneno ya watu, kwani maneno ya watu hayakusaidii kitu kikubwa ni kupambania ndoto zako ili kufikia malengo yako. asante kwa kusikiliza makala hii mimi ni Grace Ibrahim.