“Jinsi Raphael Alivyotengeneza Zaidi ya Tshs 300,000+ Ndani ya Masaa 24 Tu Kupitia WhatsApp Status yake… (na Jinsi Utakavyotengeneza Pia)” 01/06/2022 nilitoa Kitabu (eBook) kwa watu 50 Tu…Kinachoelekeza hatua kwa hatua jinsi ya kutumia WhatsApp kuuza bidhaa/huduma kwa Mtanzania wa kawaida… Na ndani ya kitabu nilielekeza jinsi ya kuuza bidhaa/huduma Kwenye WhatsApp kupitia hivi vipengele 5 hapa chini… • WhatsApp Groups • WhatsApp Status • WhatsApp one-on-one messages (Inboxes) • WhatsApp Broadcasting Lists • Friend’s WhatsApp Miongoni mwa watu 50 wa kwanza waliopata kitabu cha jinsi ya Kutumia WhatsApp kutengeneza pesa ni “Raphael” “Na hii ndio shuhuda aliyoituma kwenye Mentorship Group Mwezi Uliopita….” Ambapo aliweza Kuingiza zaidi ya Tshs 300,000 ndani ya masaa 24 tu kupitia WhatsApp status yake… Kwahiyo kama unataka Kuuza Bidhaa yako na kutengeneza Pesa Nyingi Kupitia WhatsApp Status yako…haya ndio MAKOSA 3 Makubwa ya Kuepuka… (na hiki ndicho Kilichomsaidia Raphael Kutengeneza Zaidi ya Tshs 300K ndani ya masaa 24 Tu) 1) Kusema Mzigo Upo wa KUTOSHA/Mwingi Watu wengi sana wanakosa mauzo kwenye WhatsApp status zao…kisa neno “MWINGI/WAKUTOSHA” Kwanini?... Kwasababu Neno mwingi halimpi mteja sababu ya kuchukua hatua muda huo Mteja akishaona neno MWINGI/Wakutosha kichwani mwake anajiuliza… ”Kwanini ninunue leo, kesho au kesho kutwa wakati mzigo upo wa kutosha?” Watu hawanunui vitu bila sababu…kinachowafanya watu kununua vitu ni HOFU ya Kukosa (Fomo) Kwahiyo mpe mteja wako sababu ya kununua bidhaa yako muda huo kwa kumtengenezea Udharura kama…Ukomo wa muda na ukomo wa idadi Mfano… Mwisho wa OFA hii ni leo saa Sita kamili usiku na Bidhaa zimeshabaki 5 Tu kwenye Stock… (Sentensi hii imejaa udharura na hofu ya kukosa kwahiyo inampa mteja wako sababu ya kuchukua hatua muda huo) 2) Kuposti Picha ya Bidhaa Kwenye WhatsApp Status yako bila CAPTIONS… Unapouza kwenye WhatsApp status yako…kumbuka kwamba kuna Tofauti kati ya KUUZA na KUONESHA bidhaa Unapoposti bidhaa tupu bila CAPTION Hapo hujauza bali umeonesha…Kinachouza bidhaa kwenye WhatsApp status yako ni Caption sio Picha Kazi ya picha ni Kuteka Attention ya wateja wako pekee na sio kuuza bidhaa 3) Kutengeneza TAIRI Kwenye WhatsApp Status yako… Hakuna kosa kubwa kama kuiweka WhatsApp status yako BIZE pindi unapouza bidhaa/huduma yako Kwanini?... Kwasababu hiyo inaonekana kama kazi kwenye ubongo wa mteja Pia Kisaikolojia ukimpa mteja chaguo Zaidi ya Tatu…anapatwa na kitu kinachoitwa “Analysis Paralysis” Yaani mteja akiona status yako imetengeneza Tairi au umeposti Zaidi ya picha tatu…basi anaishia Ku-VIEW tu na kupita bila kufanya chochote… (Anapararazi kwenye ubongo) Najua utakuwa unajiuliza… ”Sasa Nyanda Tunatakiwa Tuposti Picha Ngapi?” Swali zuri sana… Siri ya kutoka kwenye huo mtego inaitwa… “The 3 Boxes Method” The 3 Boxes Method ni pale unapompa mteja wako chaguo tatu ili achague Kile cha kati kati… Na hii ndio mbinu utakayoitumia kuposti bidhaa unazouza kwenye WhatsApp status yako…kwa kuposti picha tatu tatu tu Haya matokeo ya Raphael ni Shuhuda tosha kwamba Kuuza kwenye WhatsApp inalipa… Kutokana na ripoti ya TCRA ya Mwaka 2021…inasema Kwamba Tanzania inakadiriwa kuwa na Jumla ya Watumiaji wa Mtandao wa WhatsApp Milioni 8…na bado idadi inazidi kuongezeka kila kukicha Hiyo ni sawa na kukwambia kwamba… “Soko ni Kubwa mno” “Na habari njema Zaidi ni kwamba…Uhitaji kuwa na Duka au Ofisi yoyote ili Kuanza Kutengeneza pesa kwenye WhatsApp yako ni Simu yako tu ya Mkononi (Smart phone) then boom” Najua utakuwa unajiuliza… “Sasa Kama WhatsApp ina faida kiasi hicho inakuwaje Watanzania Wengi bado hawaitumii Kuuza bidhaa/huduma zao au kutengeneza pesa?” Swali zuri sana… Kuna sababu kuu 2… a) Wengi Bado Hawajui kama wanaweza kutengeneza pesa kupitia WhatsApp zao au… b) Wanajua kama wanaweza kutengeneza pesa Kupitia WhatsApp zao…ila bado hawana ujuzi wa kufanya hivyo Soko hili Jipya la WhatsApp linalokuwa kwa kasi ni kwa ajili yako endapo tu una Smartphone na Kitu cha Kuuza (Bidhaa/huduma) Kama ungependa Kujaribu soko hili Jipya la “WhatsApp Marketing” …Basi niruhusu nikitambulishe kitabu (eBook) changu kipya kinachoelekeza hatua kwa hatua Jinsi ya Kutengeneza Pesa Kupitia WhatsApp yako kinachoitwa… “WhatsApp-MKWANJA” Baada ya Kujinyakulia Kitabu Chako utaenda Kugundua na Kujifunza SIRI hizi hapa chini…ambazo huwezi kuzipata popote pale kwa sasa…. ▪ Siri niliyojifunza kutoka kwa raisi wa 26 wa marekani,ambayo iliyapaisha mauzo yangu ndani ya usiku mmoja…90% ya wanasiasa, wasanii na watu wote maarufu hutumia siri hii kushawishi ▪ Tumia hizi njia 5 kutengeneza pesa kupitia WhatsApp yako…(sio kile unachofikiria) ▪ Makosa 7 ya Kuepuka Pindi unapouza chochote kwenye WhatsApp status yako… (Kosa No.7 litakuacha mdomo wazi) ▪ Tumia hizi hatua 7 kutangaza na kuuza kwenye MaGROUP yako ya WhatsApp…(Hatua No.6 wengi hawaijui na ndiyo yenye hela zako) ▪ Hili ndilo chujio la uhakika la kupata wateja watakaonunua bidhaa/huduma kwenye WhatsApp yako…(Ingia Chapter 4) ▪ Jinsi ya kutumia WhatsApp yako kuuza kwa watu wanaokujua…(Ingia chapter 5) ▪ Jinsi ya kutumia WhatsApp yako kuuza kwa watu wanaoku-follow mtandaoni…(Ingia Chapter 6) ▪ Jinsi ya kutumia WhatsApp yako Kutangaza na Kuuza kwa watu wasiokujua…(na hapa ndipo penye hela zako nyingi mtandaoni, chapter 7) ▪ Tumia Funnel hii ya Siri inayoitwa “MM-Funnel” ili kuuza bidhaa yako kirahisi Zaidi mtandaoni…(chapter 9) ▪ Hivi ndivyo Vitu 8 vya kuposti ili Kuuza Zaidi Kwenye WhatsApp status yako…(Sivyo unavyofikiria, chapter 10) ▪ Jinsi ya Kupata MAFURIKO ya wateja BURE kutoka Mtandaoni hata kama hauna Followers wengi kwa kutumia Formula hii ya siri inayoitwa “The 3 Comments Technique….(hii hapa chapter.11) Kitabu Hiki Hakijatoka Rasmi ila Baada ya Kutoka Kitauzwa Tshs 57,000 Lakini… “Watu 100 Tu Kwa sasa Watakipata Kitabu kwa Exclusive OFA ya Tshs 29,999 Tu… (Badala ya Tshs 57,000)” Kwanini ni Tshs 29,999 Tu…(Badala ya Tshs 57K)?.... Ili Kila mmoja mwenye kiu ya kutengeneza pesa Kupitia WhatsApp yake aweze kupata kitabu japo sio kwa ajili ya kila mtu na Nafasi ni 100 Tu Mwanzoni Nilikiuza kwa watu 50 tu kwanza ila baada ya kupata Mafuriko ya shuhuda…nikaamua kuongeza tena nafasi zingine 50 na Mpaka sasa tayari zimeshabaki nafasi 10 Tu Kama utalipia Kitabu chako ndani ya Masaa 48…Basi Utapata BONUSSES hizi hapa chini BURE Kabisa…. 1). Utaungwa kwenye Mentorship Group ya WhatsApp ya Miezi 3 BURE, ambapo utashikwa mkono na kupata ushauri muda wowote BURE…(Thamani yake huwa ni Tshs 299K) 2). Unapata PDF BURE yenye Formula ya Kuandika Matangazo ndani ya dkk 15 tu iliyokuwa inatumiwa na nguli wa Copywriting “David Ogilvy” …(Thamani yake ni $79.9) 3). Unatumiwa Link ya Siri BURE yenye Mkusanyiko wa Matangazo yote yaliyowahi Kuitikisa Dunia miaka ya 80’s & 90’s…(Thamani yake ni $227) Ili Kupata Kitabu chako ndani ya DKK 2 tu Kwenye WhatsApp yako Pamoja na BONUSSES Zake zote….basi Lipia Tshs 29,999 Tu (Badala ya Tshs 57K) Kupitia Namba hizi Hapa Chini M-PESA/TIGO-PESA 0767-912-157 / 0679-912-157 Jina : Amosi Nyanda Baada ya Malipo Nitumie Jina Lako WhatsApp ili nikutumie Kitabu chako ndani ya Dkk 2 Tu pamoja na BONUSSES Zake zote Kabla Nafasi Hazijaisha Vipi Bado Una wasi wasi kama Kitabu Hiki Kitakufaa?... Usijali naelewa jinsi unavyohisi kwani hata hawa hapa chini pia walikuwa na Hofu hiyo hiyo Kabla ya Kupata Kitabu…lakini Angalia wanavyosema sasahivi…. Angalia Lilian kutoka Dar anavyosema hapa chini….. Khalfan kutoka Kinondoni Dar es salaam yeye anasema…. “Gharama ya Kitabu imerudi na FAIDA ya Tshs 155,000 ndani ya masaa 24 Tu” Kama bado una wasi wasi juu ya kitabu licha ya kuona shuhuda zote hizo basi SIKUSHAURI Kununua…ila kama unataka kuibadilisha WhatsApp yako kuwa Mashine ya Kukuchapishia Pesa basi Lipia Kitabu chako SASAHIVI Kupitia namba hizi hapa chini…kabla OFA Haijaisha Kumbuka Nafasi zimeshabaki 10 Tu…na OFA Hii ni ya Masaa 48 Tu P.S. Aidha Uendelee kuitumia WhatsApp yako Bila Faida yoyote au Uitumie kama chanzo cha Kutengeneza Pesa…chaguo ni Lako Lipis Tshs 29,999 Tu… (Badala ya Tshs 57K) Kupitia namba hizi hapa Chini SASAHIVI M-PESA/TIGO-PESA 0767-912-157 / 0679-912-157 Jina : Amosi Nyanda Imetoka Katika Dawati la “Amosi Nyanda” Moshono, Arusha, Ahsante!