MKATABA WA KUPANGISHA NYUMBA/KIBANDA Mimi WAKATI NJOKA MWASEGILE. Nimempangisha Ndugu……………………………………………………. Nyumba /Kibanda No…. kuanzia tarehe………………………………… hadi tarehe…………………… kwa Tsh…………………… kila mwezi, kwa miezi……. Jumla Tsh……………….. Masharti kwa mpangaji 1.kulipa kodi kwa miezi 3 (lazima) na Zaidi kulingana na mahitaji ya mpangaji. 2.kufanya ukarabati/matengenezo yaliyosababishwa na mpangaji mwenyewe. 3.kulipa bill ya maji na umeme. 4.kufanya usafi wa nyumba /mazingira ya ndani na nje. 5.malipo ya serikali na TRA kwenye kibanda ni juu ya mpangaji mwenyewe. 6.kufanya ukaguzi wa nyumba au kibanda panapobidi. Sahihi ya mpangaji………………………………………. Sahihi ya mpangishaji……………………………………… Tarehe………………………….