Uploaded by Agnes Wafula

Intermediate 2 year 8 Ufahamu

advertisement
Intermediate year 8 Ufahamu.
Soma ufahamu Kisha ujibu maswali.
Darasa letu la tano lina wanafunzi ishirini na wawili. Wote huvalia sare nadhifu. Tulipoletewa
mtihani wa kufungua shule ndipo nilijua kuwa wanafunzi wengi huwa hawapendi kufanya
mtihani. Wakati wa mtihani wao hukasirika na kuwa na wasiwasi mwingi. Huuchukulia mtihani
kama adhabu. Fikra ile si ya kweli. ukweli ni kuwa kusudi la mtihani ni kujaribu ufahamu ama
ujuzi wa mwanafunzi na wala si kumfanya afeli. Mwanafunzi aliyesoma hujiandaa vilivyo na
huwa hana wasiwasi wowote.
Maswali
1. Darasa lina wanafunzi wangapi?
2. Wanfunzi huvalia nini
3. Wanfunzi hawapendi kufanya nini?
4. Kusudi la mtihani ni?
5. Mwanfunzi aluesoma hufanya nini?
Download