Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo Ya Amali P. O. Box 394 Zanzibar YAH: KUCHELEWESHWA KWA KAZI YA UJENZI WA SKULI YA KWARARA Tafadhali husika na mada hiyo hapo juu pia naomba urejee barua ya tarehe 05/11/2019 yenye Kumb Na. MCHANGA-03/AGT/NOVEMBER-2019. Napenda kukujulisha kuwa kasi ya ujenzi wa skuli imedorora kutokana na kutopatikana kwa mchanga mweupe unaofaa wa kupigia “plasta” na kufanyia “floor”. Hivyo tunaomba tupatiwe mchanga huo kwa haraka ili tuendele kazi. Ahsante Wako mtiifu, ………………………………… Hemed Nassor Mohammed Mkuregenzi Mtendaji Al-Hilal General Trading Co. Ltd Nakala: Eng. Hamisi O. Shemy P. O. Box 266, Kisauni Zanzibar Mkurugenzi Idara ya Misitu na Mali Zisizorejesheka Zanzibar