DARASA LA NNE MUHULA WA PILI 2018 KISWAHILI LUGHA DARASA LA NNE KASKAZINI Jaza nafasi katika mtungo huu. Mapapai _1_yalinunuliwa_2__hayajakomaa vizuri.Tulijaribu __3___sokoni. Lakini soko hilo__4__lilikuwa limefungwa___5___.nilichukua__6___kikubwa nikampa mama____7___alituambia kwamba mapapai_8____hayawezi kuoza____9_____pahali_____10_____. 1. 2. 3. 4. 5. 6. 7. 8. 9. 10. A. mbichi A. zikiwa A. kuyarudisha A. nayo A.lote A. mfuko A. Nao A. zote A.yakitunzwa A. nzuri B. mibichi B. ikiwa B. kuzirudisha B.nacho B. yote B. gunia B. Nayo B.yote B. ikitunzwa B. mzuri C. mabichi C. ukiwa C. kuirudisha C.nalo C. zote C. debe C.Naye C.lote C. ukitunzwa C.zuri D. bichi D. yakiwa D. kurirudisha D.naye D. chote D. kikapu D.Nacho D.chote D. zikitunzwa D.pazuri Chagua jibu sahihi 11. Mamake mamako anaitwa_________________________. A.mama B.nyanya C.rafiki D.dada 12. Mzazi wa mzazi wakoni____________________________. A.babu au mama B.mjomba C. babu au nyanya D.shemeji 13. Andika wingi wa sentensi hizi Samaki amevuliwa. A. masamaki wamevuliwa B. Samaki zimevuliwa C. Samaki wamevuliwa D. Samaki yanavuliwa 14. Jiwe kubwa hili A.Mawe kubwa ni haya B. Mawe makubwa ni haya C. Majiwe makubwa ni haya Tumia kiashiria sahihi 15. Mbwa__________ wamelala A. Zile B. Yule C. Huyu D.Wale 16. Kuku__________ wameuzwa A. Hao B. Hizi C. Huyu D. Zile C. Kile D. Hizi 17. Birika____________ ni zuri A. Hii B. Hili Andika majina ya vifaa hivi D. Jiwe makubwa ni haya 18. Chombo cha kupepetea nafaka___________ A. Bilauri B. uteo C. sinia D. mbuzi 19. Jiko la kupikia kutumia makaa ni A. Mbuzi B. kiko C. majiga D. seredani C. ufagio D. manyoya 20. Hutumiwa kufagia A. Mwiko B. kifagio Kamilisha methali na vitendawili 21. Akiba ____________ A. Haidumu B. haiozi C. haibaki D. haipo 22. Ngoja ngoja huumiza____________ A. Matumbo B. mwili C. kichwa D. mdomo 23. Fatuma mchafu__________________ A. Barabara B. nguruwe C. ufagio D. kifagio 24. Mama nieleke _________________________ A. Kiti B. usingizi C. baba D. kitanda 25. Habari ya asubuhi_____________________ A. Nzuri B. mzuri c. njema D. poa 26. Hamjambo______________________________ A. Sijambo B. hatujambo C. marahaba D. asante Tumia kiulizi –pi 27. Mtoto mwerevu ni ______________ A. Yupi B. wapi C. upi D. ipi 28. Vifaranga wabaya ni______________ A. Wayupi B. ipi C. wapi D. mpi 29. Yai ___________ limevunjika A. Zipi B. wapi C. lipi D. yupi 30. Panga maneno haya yawe sentensi sahihi. Akalia yangu alichapwa rafiki__________________________________ Soma kifungu kisha ujibu maswali 31-40 James na mke wake karibu waliishi katika kijiji cha robo safi.walikuwa watu fukara wa mali.hawakuwa na mifugo yoyote ama vile kondoo, mbuzi, ngombe wala kuku.hawakubarikiwa na mtoto. Hata hivyo walikuwa watu wema sana.walikuwa na roho safi kama kijiji chao.walisema na watu wote kwa adabu na heshima.vile vile walimpenda Mungu.Hawakuchoka kumwomba Mungu.ni kweli walikuwa maskini na fukara sana wa mali Lakini walikuwa tajiri Zaidi wa wema. 31. Ni kweli kuwa James na mkewe walikuwa_________ A. Walevi B. walimu C. maskini D. watoto 32. Jina la mwanamume aliyetajwa ni__________________ A. Karibu B. mke C. Hamisi D. James 33. Ijapokuwa James na mkewe walikuwa maskini, walikuwa_____________ A. Wavivu B. Tajiri wa wema C. Wakora D. Wajanja 34. Neno fukara limepigwa mstari, maana yake ni_________________________ A. Mwalimu B. Tajiri C. Mwizi D. Maskini 35. Ni kweli kusema kwamba James na karibu____________________________ A. Hawakuwa na watoto B. Walikuwa na watoto C. Walikuwa si wema D. Walikuwa tajiri sana 36. Kondoo, mbuzi, ngombe na kuku ni aina ya_____________________________ A. Ndege B. Mifugo C. Ngombe D. Maksai 37. Familia hii waliishi katika kijiji cha__________________________________ A. Nairobi B. Roho safi C. Fukara D. Karibu 38. Kamilisha methali; Wema_________________ A. Hauozi B. Huoza C. Ni mbaya D. Huua 39. Mtu mwenye roho safi ni_______________________________ A. Anayepiga watu B. Anayesengenya sana C. Mcha mungu D. Anayegombana sana 40. Hadithi hii inazungumzia nini? A. Mtu mjanga B. James na mkewe C. Uwezo wa mungu D. Shida za utajiri Beres alikuwa mwanafunzi katika shule ya Eden Annex.alipenda kuwachokoza na kuwasumbua wenzake darasani na hata barabarani walipokuwa wakielekea nyumbani baada ya masomo.alikuwa anashirikiana na Nzeva pamoja na Mtune katika ujanja huu. Siku moja Nzeva na Mtune walikosa kuudhuria masomo.sasa Beres akajua kwamba mambo yake yameharibika.aliwaomba aliowakosea msamaha Lakini wakamwahidi angepata cha mtema kuni.siku hiyo Beres alichapwa kweli kweli na akaapa kutorudia tena. 41. Je Beres alikuwa na marafiki wangapi? A. Watano B. Watatu 42. Mtoto ambaye anasoma anaitwa? C. Wane D. Wawili A. Mwalimu B. Mwanafunzi C. Mhuni D. Kitili C. Unacheka D. Unakataa C. Eden Annex D. Makini 43. Ukisamehewa, _____________________ A. Unakasirika B. Unafurahi 44. Beres anasoma shule ipi? Ya_________________ A. Digitali B. Nairobi 45. Ni nani waliokosa kuudhuria shule siku moja? A. Beres na Mtune B. Beres, Nzeva na Mtune C. Nzeva na Mtune D. Nzeva na Beres C. Wawili D. Wanne 46. Wavulana waliotajwa Kwa majina ni wangapi? A. Sita B. Watatu 47. Je waliokosewa walimsamehe Beres? A. La B. Naam C. Kidogo D. Hawajasema 48. Waliotajwa kwenye ufahamu huu wana sifa_______________________ A. Mbaya B. Nzuri C. Nzuri na mbaya D. Hatujui B. Hakuchapwa C. Aliadhibiwa D. Alibeba kuni B. Hakuchapwa C. Alitoroka D. Aliahidi kutorudia 49. Cha mtema kuni in a maana gani? A. Walicheza naye 50. Ni kweli kusema Beres A. Hakulia